Sexe Model huren porn tube

Sala ya Mt. Augustino kwa Mwenyezi Mungu

Baba Mwenyezi, njoo mioyonimwetu, na hivyo utujaze kwa upendo wako tuache tamaa zote ovu, tuweze kuku-kumbatiawewe, uliye mwema. Ee Bwana, Mungu wetu, utuonyeshe Wewe ni nini kwetu. Ambia roho zetu, mimi ni wokovu wenu, sema ili tuweze kusikia. Mioyo yetu iko mbele yako;fungua masikio yetu; tufanyetusikie sauti yako haraka. Usitufiche uso wako. Fungua mioyo yetu ili Uweze kuingia. Karabati hekalu hili, ili Upate kukaa humo. Tusikie, Ee Baba wa Mbinguni, kwa ajili ya Mwana wako wa pekee, Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye anaishi na kutawala nawe pamoja na Roho Mtakatifu, Mungu daima na milele. Amina

Pridaj komentár

Vaša e-mailová adresa nebude zverejnená. Vyžadované polia sú označené *